Breaking News

Masangula Blog inawatakia Waislamu wote Eid Mubarack

Uongozi wa MASANGULA Blog, unawatakia kheri na amani waislamu wote nchini na nje ya nchi katika kusherehekea Eid Fitry 

Mkurugenzi Mkuu wa MASANGULA Blog Yahya Masangula kwa niaba ya wafanyakazi wote wa MASANGULA Blog/Tv,  anawasihi Watanzania wote kutumia siku hii kwa kushereheka na sio kuhatarisha amani kwa kufanya matendo mauvu yenye kuhatarisha amani na yenye kumuudhi mwenyezi Mungu. 

Eid Mubarack

No comments