Breaking News

Breaking News . Aveva na Malinzi wapandishwa Kizimbani wasomewa mashtaka ya utakatishaji Fedha.

Kwa Nyakati Tofauti Rais wa Simba amepandishwa kizimbani na Rais wa TFF Jamali Malinzi kusomewa mashtaka ya Kughushi nyaraka kwa nia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishashaji wa Fedha. 

Awali Evence aveva na Mwenzake alipandishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu na Kusomewa mashtala Matano mbele ya Hakimu Mkazi victoria Nongwa na Wakili msigwa . 

Baadaye alipandishwa Raisi wa TTF Jamali Malinzi na wenzake mbele ya Hakimu Mkazi Wilbard Mashauri ambao walisomewa mashataka 28 pamoja na kughushi nyaraka na utakatishaji Fedha. 

No comments