#MTI WA WA MAAJABU UMEGOMA KUKATWA HII HAPA HABARI YAKE
Story ambayo inatawala kwenye headlines mbalimbali kwa sasa ni ile inayotoka Mwanza ambako imeripotiwa kuwa upo mti ambao umegoma kukatwa.
Mti huo uliopo pembezoni mwa Barabara ya Airport eneo la Pasiansi unadaiwa pia kuwa unazungumza jambo linalokusanya watu kwenda kuushuhudia.
Masangula Tv na masangula.com imefika eneo la tukio na zimekusogezea FULL video ya tukio hilo ambalo unaweza kulishuhudia kwa ku-play…
No comments