Breaking News

RIPOTI ZA IKULU HAZIACHAGI WATU SALAMA, TAYARI WAZIIRI WA TAMISEMI AMEAMUA KUJIUZULU NAFASI HIYO

Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu.
 Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza kujiuzulu nafasi yake kutokana na kutajwa kwenye ripoti za uchunguzi wa tanzanite na almasi

No comments