Breaking News

GOR MAHIA WALIVYOTUA JIJINI DAR TAYARI KUITULIZA EVERTON YA ROONEY

Mabingwa wa SportPesa Super Cup, vigogo wa Kenya, Gor Mahia wametua jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi yao ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Everton FC ya England.

Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, keshokutwa.






No comments